Balozi Dola - Kwenye Chati | MP3 Downoad

Balozi Dola - Kwenye Chati (Wengi Walikwepo sasa hivi wapo wapi)

 ALHAMIS EXCLUSIVE  Leo kwenye TBT ya Bongo Fleva ni ni wimbo wa Balozi Dola Soul - Kwenye Chati.Ngoma hii ni moja ya hit songs zilizo bamba mbayaa Tanzania na Africa  Mashariki kutoka kwa mwana hip hop huyu ambaye kwa sasa anaishi Ughaibuni.Track  iko produced chini ya producer Mika Mwamba.
Soma mistari(Lyrics) zake hapa za kiitikio,  Sikiliza/Download Kisha Share na wana..!

Chorus
Wengi walikwepo sasa hivi wapo wapi,wako wapi
Balozi bado nipo ninapanda kwenye chati,kwenye chati
Nashika ile ile,ile moja namba natamba 
Nina uhakika kila mwaka,wa kubaki kwenye chati (Yeeah) x2

DOWNLOAD BALOZI DOLA SOUL - KWENYE CHATI | MP3 AUDIO
Previous Post Next Post