Chalii Stejoh - On Fire Ft. Imma G | MP3 Download


          Moja ya rappers wakali Bongo wanaokuja kwa kasi na hit songs zenye good lyrics ni Chalii Stejoh, Nakukaribisha kuskiliza ngoma yake mpya ya On Fire aliyomshirikisha Imma G. Audio imetayarishwa na Defxtro kutoka studio za Noizmekah. Sikiliza/Download kisha Share na wana bila kusahau kutoa maoni yako hapo chini kuhusu hii ngoma. Enjoy!

Previous Post Next Post

About Us

Bongo Exclusive is a website for the latest world news, music, videos and all types of entertainment. Everything exclusive