Hemedy PHD - Ninachotaka (Audio) ⏪ REWIND

Hemedy PHD - Ninachotaka

Hemedy PHD - Ninachotaka
      Huyu hapa Hemedy PHD na ngoma yake iliyotamba baada ya kutoka kwenye shindano la Tusker Project Fame. Audio Inaitwa Ninachokitaka. Sei Records ndiyo studio iliyorecord wimbo huu. Sikiliza comment maoni yako hapo chini kisha share na wana

Chorus QUOTE
Sina neno mimi na sura yako,  
sina mpango mimi na shepu yako,
ninachotaka ni mapenzi, ninachotaka ni mapenzi.
Previous Post Next Post