Tanzanite - Nyambizi | Download

Tanzanite - Nyambizi

     Msanii wa Bongo Flava Tanzania Tanzanite anakuletea ngoma yake mpya aliyoipa jina la Nyambizi. Chorus ya wimbo huu ameirudia kutoka kwenye original song ya Dully sykes (Nyambizi) Wimbo huu umetayarishwa na Issam Touchez. Enjoy, Download Comment maoni yako hapo chini kisha share na wana!.

DOWNLOAD AUDIO
Previous Post Next Post