BJB - Ndani Ya Club Feat. Dully Sykes (Audio) | ⏪ REWIND

BJB - Ndani Ya Club Feat. Dully Sykes (Audio) | ⏪ REWIND
https://bongoexclusive.net/bjb-ndani-ya-club%e2%8f%aa/ Bongo Exclusive BJB, Bongo Flava, Dully Sykes, Tanzania

bjb - ndani ya club


ASIKWAMBIE Mtu kitu babu Bongo Flava yetu usiione ina-shine tu kuna walioipigania kwa kila namna kuifanya iwepo na indelee kuwepo. Leo Kwenye REWIND (Hip Hop Edition) ya Bongo Exclusive nakusogezea mmoja ya artists aliyevuma kwa kasi kwa aina ya muziki aliokuwa akifanya pamoja na the way alivyokuwa akiflow kwenye ngoma zake, BJB. Ebanaee much respect to bjb kwa mchango wake kwenye muziki wetu wa bongo flava. Ndani ya club pa moja na hip hop ni baadhi ya tracks zilizomtambulisha vyema jamaa kipindi cha 2003’s, Ukisikiliza chorus kuna sauti ya mnyama mkali Dully Sykes. Kwenye hii ngoma G Records ndiyo studio aliyorekodi jamaa na hapo hapo hakutaka kusubiri sana mchizi akawatafuta Wananchi Video Productions then wakashoot kichupa kikali cha enzi. Nakukaribisha tujukumbushe pamoja hizi ngoma za BJB kisha nitafurahi ukiniambia Zimekukumbusha nini? Karibu.


 
DOWNLOAD BJB – NDANI YA CLUB

 
DOWNLOAD BJB – HIP HOP

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post