NYINGINE tena kutoka kwa Moni centrozone pamoja na Country Boy (Moco) inaitwa Madame. Ni wimbo flani hivi wenye mahadhi ya afro pop. This time sio trap tena kama tulivyozoea kutoka kwao. Audio imetayarishwa na Paul Makee, Enjoy!.

Post a Comment