EXCLUSIVE: Jase Aizungumzia Project Ya wimbo Wake Mpya "Wanasema"

Rappper/Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Jase, aachia audio ya wimbo wake mpya "Wanasema" alioshirikiana na Tompoo RnB. Akizungumza na Bongo Exclusive (BETV) Jase amesema, "Wanasema" inamzungumzia msichana ambaye mtaani wanamuongelea kwa mabaya li waachane ila yeye anapuuzia ili penzi lao liendelee kudumu. Tazama Exclusive interview hapa.

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post