Grace Matata - Wimbo (Audio)

TANZANIAN Singer ambaye kuwa nominated Kilimanjaro music awards na kutumbuiza kwenye events kubwa duniani kama DOADOA (Uganda), ZIFF (Zanzibar) na ZW & W (Zanzibar) Grace Matata, leo nakusogezea moja ya nyimbo kali alizowahi kuziachia mwaka 2010 na kufanya vyema afrika mashariki "Wimbo". Kupitia Wimbo bidada Grace ameweza kuzungumzia mahusiano baina ya watu wawili ambapo mmoja wapo anampenda mwenzake na kumfananisha na wimbo ambao anaupenda kuuimba na kuusikiliza kila siku. Audio iko na mahadhi ya RnB/Soul yenye melody nzuri na mistari yenye kugusa. This is REWIND a.k.a Alhamis Exclusive ya Bongo Exclusive, Nakukaribisha kusikiliza/Download kisha share na wana. Enjoy!

CHORUS

Wewe ni, wimbo wangu, wewe ni
Wewe ni, Wimbo Wangu, wewe ni
Sitachoka kukuimba we tena na tena
Sitachoka kukuimba weDOWNLOAD Grace Matata - Wimbo CDQ.mp3

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post