Nuh Mziwanda Ft. Sholo Mwamba – Nataka Mtoto (Audio)

Nuh Mziwanda Ft. Sholo Mwamba – Nataka Mtoto


STAA wa muziki wa Bongo Flava Tanzania Nuh Mziwanda ameachia audio ya wimbo wake mpya unaoitwa "Nataka Mtoto" Akishirikiana na Sholo Mwamba (Mkali wa Singeli). Hii ni ladha mpya na yakitofauti kabisa maana bongo flava ikichanganywa na singeli unajua nini kinatokea? Sikiliza/Download kisha share na wana.


DOWNLOAD AUDIO

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post