20 Percent - Binti Kimanzi (Ft Bushoke) | MP3 Download

20 Percent - Binti Kimanzi (Ft Bushoke) | MP3 Download

 THROWBACK THURSDAY  Alhamis Exclusive Ya leo ni ngoma ya 20 Percent a.k.a asilimia ishirini au 20 % akishirikiana na Bushoke ngoma inaitwa Binti Kimanzi.Sikiliza Download kisha share na wana!
[ads id="ads1"]
Chorus: Bushoke
Oooh Mtoto Tulia (wewe),Sisi tumemchagua
Umetaka utamuoa,Hukutaka utamuoa

20 Percent:
Sawa Nitamuoa yeye,ila sintadumu nae
Wazazi muelewe ,mie ninaye nimpendae

 [ads id="ads2"] 
DOWNLOAD 20 PERCENT FEAT BUSHOKE - BINTI KIMANZI
Previous Post Next Post