B Town Clan Ft Suma Lee, Noorah - Taifa La Bongo | MP3 Download

B Town Clan Ft Suma Lee, Noorah - Taifa La Bongo | MP3 Download

 THROWBACK THURSDAY  Sikiliza/download audio ya wimbo wa B Town Clan wakishirikiana na Suma Lee, Noorah ngoma inaitwa Taifa La Bongo.Na hii ndo exclusive bongo fleva ya enzi hizooo.... enjoy!

Chorus:Suma Lee
Tanzania wote taifa la  bongo,kwenye hard time tuna make bingo,
Kuna watu kibao wenye usongo,lakini wengi wao ni waongo,
Tanzania wote taifa la  bongo,kwenye hard time tuna make bingo,
Kuna watu kibao wenye usongo,lakini wengi wao ni waongo.

DOWNLOAD B TOWN CLAN - TAIFA LA BONGO

Previous Post Next Post