Sikiliza wimbo wa Hard Blasters Crew (Niger Jay(Prof Jay),Fanani,na Biggy Willy) - Chemsha Bongo
[ads id="ads1"]
CHORUS
Mwokozi nitoe roho niepuke hili balaa
Maisha nilichezea leo hii nalala njaa
Chemsha bongo kabla hujavagaa, ukashangaa
Chemsha bongo kabla hujavagaa, ukadua
[ads id="ads2"]