Nemo Feat. Ommy Dimpoz - My Number One (Audio) | MP3 Download

NNemo Feat. Ommy Dimpoz - My Number One (Audio) | MP3 Download

#REWIND Sikiliza/Download moja ya ngoma kali alizowahi kuachia Nemo akishirikiana na Ommy Dimpoz "My Number One". Audio imetayarishwa na Man Water kutoka studio za Combination Sound. Download kisha share na wana.

QUOTABLE LYRICS 
Anavyopendeza, Anavyopendeza She is my number one,
Anavyovutia, anavyovutia she is my number one 

DOWNLOAD AUDIO
Previous Post Next Post