Sanaipei Tande - Najuta | MP3 Download

Sanaipei Tande - Najuta 
 ALHAMIS EXCLUSIVE  #TBT From kenya: Listen/Download Audio from  Sanaipei Tande - Najuta. Produced By Clemo (Beat Ya Clemo) Sanaipei ni mwanadada anayefanya poa kwenye game ya muziki nchini kenya na hii ni moja ngoma zilizobamba kwenye chati za afrika mashariki kwa ujumla. Sanaipei ameshawahi kushirikishwa kwenye wimbo wa msanii mwenzake kutoka Kenya Juacali " Kwaheri" huku akiitendea haki chorus yake.Ukisikiliza audio hii kama wewe ni shabiki wake na ulikua ukifuatilia nyimbo alizofanya utagundua kuwa ni matokeo baada ya kuondoka/kumuaga juacali kwenye ile ngoma ya kwaheri so hii ni kama muendelezo wa kilichofuata. Nakukaribisha tuEnjoy wote kwa pamoja ila usisahau ku-Share.
 
Sanaipei Tande - Najuta


DOWNLOAD AUDIO: SANAIPEI - NAJUTA | MP3
Previous Post Next Post