VIDEO: Nuru Feat. Bob Junior - Muhogo Andazi | ⏪ REWIND

Yes its throwback thursday huh? Leo kupitia REWIND ya Bongo Exclusive tunakusogezea moja ya ngoma kali aliyowahi kuachia bidada Nuru The Light mwaka 2011 na kumtambulisha vyema Afrca mashariki akishirikiana na Bob Junior A.K.A Sharobaro/Mr Chocolate Flavour. Ngoma inaitwa Muhogo Andazi, Imerekodiwa katika studio za Sharobaro Records na Adam Juma ndiye aliyeongoza video yake. Nakukaribisha kutazama video ya Muhogo Andazi kisha toa maoni yako hii ngoma inakukumbusha nini. Kudownload audio yake bonyeza HAPA

 
This is Bongo Exclusive Official Website (Everything Exclusive) you can follow our social network pages or email us: bongoexclusive@hotmail.com

Become Our VIP Subscriber, Jiunge Sasa!

 
Top