Mtanzania Afariki Kwa kuchomwa Sindano ya Sumu Kwa Hiari

Mtanzania Afariki Kwa kuchomwa Sindano ya Sumu Kwa Hiari

Lizy Mtango, mtanzania anayeishi Ujerumani ambaye amekua akiugua kansa ya damu kwa muda mrefu (leukemia) amelazimika kuchomwa sindano ya kifo ili apumzike kutokana na mateso ya ugonjwa huo.

Inaelezwa kuwa silent death (euthanasia) ni utaratibu unaoruhusiwa kwa baadhi ya nchi duniani kwa makubaliano kati ya daktari na mgonjwa mwenyewe. Huduma hii hutolewa kwa wagonjwa walio kwenye maumivu makali na walioteseka kwa muda mrefu na kufikia hatua ya kukata tamaa. Lizy ametumia mtandao wa Whatsapp kuwaaga rafiki zake.Mwenyezi 

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Amen.
Previous Post Next Post