TID AWADAI AZAM TV MILION 300 KWA KURUSHA FILAMU YA GIRLFRIEND.


TID AWADAI AZAM TV MILION 300 KWA KURUSHA FILAMU YA GIRL FRIEND.

Msanii wa kizazi kipya @tidmusic amewapiga marufuku kituo cha @azamtvtz kurusha tena filamu ya #girlfriend bila makubaliano yoyote.

Aidha msanii huyo alienda Mbali zaidi na kusema kituo hicho kinapaswa kumlipa msanii huyo milioni 300 kwa kosa la kuiba filamu yake na kuirusha katika chanel ya @sinemazetu103 bila makubaliano yoyote.

Filamu ya girl friend ilichezwa mwanzoni mwa mwaka 2000 na kuwakutanisha mastaa kama @tidmusic @monalisatz @aytanzania @kingcrazy_gk na @jaymoefamous na iliongozwa na Marehemu George Tyson
Previous Post Next Post