DJFetty: Hukujua Kama Ukifika Pale Utadhalilishwa Tena Mbele ya Umati ule

 DJFetty: Hukujua Kama Ukifika Pale Utadhalilishwa Tena Mbele ya Umati ule

Reposted from @thebestfetty  -  Hukujua kama ukifika pale utadhalilishwa😔 Tena mbele ya umati ule, I feel ur pain.hao wenyewe walikotokea wanajua vizuri sanaaaa na laiti wangedhalilishwa kiasi hicho, na kukatishwa tamaa, sidhani kama wangefika wanapojiona wamefika na hata kushangilia kudhalilishwa kwako. Kuna tuliowaona vituko walipokuwa wakijaribu kufikia malengo yao lakini tuliwapa nafasi sasa wanajiona magwiji 😏 Na kujiona wamaana mbele ya wengine. Eti mnapiga makofi kabisa kufurahia udhalilishaji???? Ingekuwa ndio wewe unaedhalillishwa mbele ya camera ungejiskiaje. Kwanza huyu jamaa hajawahi tafuta attention ya watu, (kama Mastaa wengi tulionao) watu wenyewe ndio walimfata katika ulimwengu wake na kumpaisha. USIFURAHIE ANACHOFANYIWA MWENZIO KAMA MWENYEWE HUTOFURAHIA UKIFANYIWA ANACHOFANYIWA.Keep ur head up, and do you. USIKATE TAMAA, Piga kazi

 DJFetty: Hukujua Kama Ukifika Pale Utadhalilishwa Tena Mbele ya Umati ule
Previous Post Next Post