Pieree wa Liquid Afunguka Mazito Baada ya Kupewa Makavu Live na Mkuu wa Mkoa Paul Makonda

Pieree wa Liquid Afunguka Mazito Baada ya Kupewa Makavu Live na Mkuu wa Mkoa Paul Makonda

Maskini Pieree wa Liquid Afunguka Mazito Baada ya Kupewa Makavu Live na Mkuu wa Mkoa Paul Makonda
 __
Reposted from #pieree_liquid -  Nashukuru sana kwa uthamani mlionipa watanzania mnenisaidia nimepiga hatua kwenye maisha yangu.. nilikuwa ni mtu wa furaha nashukuru mmeniongezea sana furaha.. si kila mtu anapenda mafanikio yako wengine huyachukia, lakini tukumbuke anayetoa riziki ni Mungu pekee, jaribu kuvuta picha maisha yako miaka 10 iliyopita hadi leo hii umefanikiwa.. wakati sijithamini Mungu alinipatia watanzania kunipa uthamani..Ni wachache sana wanakumbuka walipotoka mara baada ya kupata mafanikio. usimdharau mtu kutokana na madhaifu au kutokana na mafanikio yako.. muwe na jumapili njema🙏🏾
Previous Post Next Post