Meek Mill ajitoa kwenye mitandao ya kijamii

Meek Mill ajitoa kwenye mitandao ya kijamii
 
Rapper Meek Mill amejitoa kwenye mitandao ya kijamii, ameifuta akaunti yake ya Instagram.

Hii imekuja ikiwa ni wiki chache tangu kifo cha Rapper Nipsey Hussle ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa Boss huyo wa Dreamchaser.

Meek Mill na Nipsey Hussle walikuwa wanaandaa Album ya pamoja kabla kifo hakijamkuta
Previous Post Next Post