Kamanda Mambosasa Afunguka Kuhusu Video Chafu ya Gwajima...Tayari Tushamwita Polisi Aje Kesho Kwa Mahojiano..La sivyo Tunamkamata

Kamanda Lazaro Mambosasa ameongea na AyoTV namnukuu Tayari Askofu Gwajima ameitwa Polisi kwa ajili ya kuhojiwa na ataripoti kesho asubuhi, akichelewa atakamatwa na tumemuita sababu hakuna aliyelalamika lakini tumeona ni kitendo cha ukiukwaji wa maadili, awe Askofu awe Mtu wa kawaida ule ni unyama wa kawaida ule ni unyama -Kamanda Mambosasa 
This is Bongo Exclusive Official Website (Everything Exclusive) you can follow our social network pages or email us: bongoexclusive@hotmail.com

Become Our VIP Subscriber, Jiunge Sasa!

 
Top