VIDEO: Bablee - KiziziTazama video ya wimbo wa msanii wa Bongo Flava Tanzania Bablee - Kizizi. Moja ya ngoma kali zilizosumbua Tanzania na Africa Mashariki kwa ujumla. Audio imetayarishwa na KGT kutoka G Records na video imeongozwa na Wananchi Video Productions. Unaweza kusikiliza audio yake hapa, na remix yake hapa.
Previous Post Next Post

About Us

Bongo Exclusive is a website for the latest world news, music, videos and all types of entertainment. Everything exclusive