Tunda Man - Mapenzi na Dhiki Ft. Mat Mo (Audio) MP3 Download

Download: Tunda man Ft Mat Mo - Mapenzi na Dhiki | Audio

 THROWBACK THURSDAY  Huu hapa moja ya wimbo wa Tunda man ulio mpa chati za juu kwenye vituo vya radio kutokana na alichokiimba kurelate maisha ya watu wengi. Ngoma inaitwa Mapenzi na dhiki,huku Mat Mo akiwa kashirikishwa kwenye mkwaju huo.Produced by Manecky. Enjoy! its Throwback Thursday man!! [ads id="ads1"]

Chorus - (Mat Mo)

Nimeshasema mapenzi na wewe basi
Nikisema basi tena staki
Yaani mapenzi na dhiki, wapi na wapi?
Sijavaa nguo mpya mwaka wa ngapi?
Nimeshasema mapenzi na wewe basi
Nikisema basi tena staki
Yaani mapenzi na dhiki, wapi na wapi?
Sijavaa nguo mpya mwaka wa ngapi?[ads id="ads2"]
Previous Post Next Post