Jaffarai Ft. T.I.D - Demu Wangu (Audio)

Jaffarai Ft. T.I.D - Demu Wangu (Audio) MP3 Download
Jaffarai - Demu Wangu (Audio) MP3 Download
Leo tusikilize moja ya ngoma kali aliyowahi kuiachia msanii wa Rap Tanzania, Jaffarai akishirikiana na T.I.D Mnyama ngoma inaitwa Demu Wangu ambayo iliachiwa mwaka 2010. Audio imetayarishwa na producer Lamar kutoka studio za Fishcrab Cookout Audio Station. Je Unakumbuka nini ukiisikiliza hii Ngoma?  Drop comment yako hapo chini, Toa maoni yako kwa ku LIKE/Dislike kisha share na wana. Enjoy!


Previous Post Next Post