Orbit - Quality Control (Lyrics) Mashairi

 Orbit - Quality Control (Lyrics) Mashairi
 Orbit - Quality Control (Lyrics) Mashairi 
Intro
Yea! Yup, Yeah!
Unh!... Sikia
Verse 1
Wamekubali matokeo mzeee
Usipo niona kaskede basi jua n'na kimeo mzeee
Kaza kaza mafao huja ukiwa na upeo mzeee
Braza braza kibao, usidanganywe na video mzee, Hatujaanza leo mzee!

Kila siku niko nduki na mashuti, mpaka wanikate miguu kama Kunta Kinte
Kwenye vita ya mapanga na mikuki, nimetimba na kifaru ni lazima nishinde
Weekend ni machupa na mapugi, namaanisha magoma ila sio ya sikinde
Tukitimba ni mashuka na masuti, tukana matusi wakushi wakuchinje
Aye!
Sipendwi na wapenda vitonga mi Oldonyo Lengai, hivyo nawafnya vibaya
Niggas wanadai wanachana?, mi nachana ile mbaya, wakibana famillilahi
Shabiki unadanganywa sana rapper wako ni lier, mpaka leo bado ni chawa
This game is a family pie, and im a family guy na nina family ties so nimekamilikaaa

Nikiwa na wana im calling the shots, you can call a uber my nigga
Sidechik ana mind eti spendi kuchat, naogopa screenshot my nigga
Mziki kwangu ni zaidi ya kazi, yeah this shit is my life my nigga
Ndio maana haigomi wala haikatai, yeah you know we go live my nigga

Hook
Huwa siongei sana nipo kimya nowdays
(Kimya nowdays kimya nowdays)
Marafiki feki nawazima nowdays
(Zima nowdays zima nowdays)
Kweny game nimezama niko kina nowdays
(Kina nowdays kina dnowdays)
Hata waki hate habari sina nowdays, niko nafanya
Quality Control (yeah)
Quality Control (shit)
Quality Control, nafanya Quality Control
(thats right)
Quality Control (shit)
Quality Control (yeah)
Quality Control, nafanya Quality Control
(thats right)

Verse 2
Juzi kati nilikua nime chill na mwanangu D beat
Nikamwambia kiukweli mi nimeshachoka kuangalia BET
So ka vipi tukaze hadi waje kutuangalia BET
Na sio kutuangalia tu hata kutushangilia ikibidi
Yeah.!
Sio kila siku tunaishia TBC, tuka kinukishe hadi BBC
SWAY, WESTHOOD and 106, ni spit fire kama nime meza kiberiti
Hapo ndipo moyo wangu mi utakua free, wasionipenda watakufa kwa BP
Nikiwaza shida iwe TBT, niwe mkongwe ka mwanangu Shule wa DDC
Aye aye!
Mi n'na rap nina vision we una rap for mademu (aye aye)
Pigeni kazi acheni ufala nyie ma wack shauri zenu (aye aye)
Kila siku hodi hodi udananda huna kwenu?
(Aye aye)
Hatufanyi show za bure nipe cash weka venue, urafiki pembeni
Aye!
N'na hustle nimuhamishe mama Kimara, akaishi Masaki ama mbezi beach
Asahau na mishe za madaladala, nitampa benzi when im crazy rich
Bebe zangu zote ni za kinyamwezi man im never fucking with a crazy bitch
Siku hizi sijibu tena diss zao i'mma let my nigga beenz handle it
Shieet.!!

Hook
Huwa siongei sana nipo kimya nowdays
(Kimya nowdays kimya nowdays)
Marafiki feki nawazima nowdays
(Zima nowdays zima nowdays)
Kweny game nimezama niko kina nowdays
(Kina nowdays kina dnowdays)
Hata waki hate habari sina nowdays, niko nafanya
Quality Control (yeah)
Quality Control (shit)
Quality Control, nafanya Quality Control
(thats right)
Quality Control (shit)
Quality Control (yeah)
Quality Control, nafanya Quality Control
(thats right)

Outro
Squad.! This is an OutLive Music presentation Ladies and Gentleman, i got my nigga D on the Beat, Goorealer music, OutLive is alive nigga dont worry i got it, Yeah.!
Previous Post Next Post