Jackie Marie - Tulia (Audio) MP3 Download

Jackie Marie - Tulia (Audio) MP3 Download
Jackie Marie - Tulia (Audio) MP3 Download
Nakusogezea nyengine tena audio kali kutoka kwa mwanadada Jackie Marie, audio inaitwa Tulia. Je imekukumbusha nini? sikiliza/Download kisha share na wana

QUOTABLE LYRICS

Tutulie wangu mpenzi , mimi wako daima
tutulie mpenzi wangu, mimi chaguo lako
wasikutishe kwa maneno, mimi ni wako mahabuba
tutulie mpenzi wangu, mimi chaguo lako
wasikutishe kwa maneno, mimi ni wako mahabuba

Previous Post Next Post