BWV (Boys With Voice) Feat. Nurujani | Zimerekebishwa Barabara -- 2 (Audio)

featured imageBWV (Boys With Voice) Feat. Nurujani | Zimerekebishwa Barabara -- 2 (Audio)

BWV (Boys With Voice) Feat. Nurujani | Zimerekebishwa Barabara — 2


Kutoka Jijini Mwanza BWV lilikuwa moja ya makundi yaliyotamba katika tasnia ya Muziki wa HIP HOP nchini Tanzania.

Kundi hili liliundwa na Wasanii wawili ambao ni Philbert Kabago na Ahmed Salehe “COOL D” (R.I.P)

Wimbo huu wa ZIMEREKEBISHWA BARABARA ulitoka baada ya Serikali ya Jiji la Mwanza kurekebisha barabara ya Airport ambayo iliimbwa katika wimbo wao wa kwanza wa ZIREKEBISHWE BARABARA

DISCLAIMER:
Hakuna ukiukaji wa hakimiliki uliokusudiwa. Similiki sauti kwenye video hii. Ni mali ya wamiliki walio halali.

https://www.youtubepp.com/watch?v=J9weVlXxscU

Install Bongo Exclusive app from Google Playstore here https://play.google.com/store/apps/details?id=bongoexclusive.tv

Bongo Flava is the nickname for Tanzanian music. The genre developed in the 1990s, mainly as a derivative of American hip hop and traditional Tanzanian styles such as taarab and dansi, with additional influences from reggae, R&B, afrobeat, a combination that forms a unique style of music. Lyrics are usually in Swahili or English. – Source WIKIPEDIA


This Is Bongo Exclusive Official Website! For Latest Urban Music, Bongo Flava, Celebrity Gossips, Breaking News, Lifestyle, Fashion, TV Series. biography, album mp3, download

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post