Hardcore Unit - Mtanzania (1997) | JCB, Spark Doggy, Mastiff & Lord Eyez | HU Scuad | (Audio)

featured imageHardcore Unit - Mtanzania (1997) | JCB, Spark Doggy, Mastiff & Lord Eyez | HU Scuad | (Audio)

Hardcore Unit – Mtanzania (1997) | JCB, Spark Doggy, Mastiff & Lord Eyez | HU Scuad |


Hardcore Unit (HU Squad) lilikuwa moja ya makundi ya mwanzo Jijini Arusha, kundi hili lilitamba na ngoma kadhaa zikiwemo Mtanzania (1997) na Rap si Mchezo iliyorekodiwa Mawingu Disco Mwaka 1998.

Wimbo wa MTANZANIA ulirekodiwa na mpiga Kinanda katika Kanisa la Anglikana Kaloleni Arusha Mwaka 1997. Kwa mujibu wa JCB usiku kabla ya kurekodi walikesha Club Crystal katika mashindano ya Rap, asubuhi yake walienda katika kanisa hilo ambapo walikubaliana na mpiga kinanda huyo kwamba atawarekodia kabla ya misa ya kwanza kuanza.

Katika wimbo huu vesi ya kwanza alisimama JCB, Spark Doggy na Mastiff walisimama vesi ya pili na ya tatu huku Lord Eyez akimaliza ya nne.  

Huuuuuuuu Scuad..

DISCLAIMER:
No copyright infringement intended.
I do not own the audio in this video. They belong to their rightful owners.

https://www.youtubepp.com/watch?v=7QcmRTBqoHY

Install Bongo Exclusive app from Google Playstore here https://play.google.com/store/apps/details?id=bongoexclusive.tv

Bongo Flava is the nickname for Tanzanian music. The genre developed in the 1990s, mainly as a derivative of American hip hop and traditional Tanzanian styles such as taarab and dansi, with additional influences from reggae, R&B, afrobeat, a combination that forms a unique style of music. Lyrics are usually in Swahili or English. – Source WIKIPEDIA


This Is Bongo Exclusive Official Website! For Latest Urban Music, Bongo Flava, Celebrity Gossips, Breaking News, Lifestyle, Fashion, TV Series. biography, album mp3, download

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post