Joint Mobb ft Juma Nature | Mtani Jirani (Audio)

featured imageJoint Mobb ft Juma Nature | Mtani Jirani (Audio)

Joint Mobb ft Juma Nature | Mtani Jirani


Joint Mobb moja ya makundi ya kwanza kufanya vizuri enzi hizo yaliundwa na wasanii wawili ambao ni RICH ONE na MASTER VEPA. Mtani jirani ni wimbo uliopatikana katika album yao ya KITINDA MIMBA na huu ndo wimbo ambao unatajwa kumtambulisha JUMA NATURE vyema kwenye masikio ya watu wengi enzi hizo zaidi ya wimbo wa Kighetto ghetto alioshirikishwa na WABABE CRANK.

DISCLAIMER:
No copyright infringement intended.
I do not own the audio in this video. They belong to their rightful owners.

https://www.youtubepp.com/watch?v=GN_y9CaTkQs

Install Bongo Exclusive app from Google Playstore here https://play.google.com/store/apps/details?id=bongoexclusive.tv

Bongo Flava is the nickname for Tanzanian music. The genre developed in the 1990s, mainly as a derivative of American hip hop and traditional Tanzanian styles such as taarab and dansi, with additional influences from reggae, R&B, afrobeat, a combination that forms a unique style of music. Lyrics are usually in Swahili or English. – Source WIKIPEDIA


This Is Bongo Exclusive Official Website! For Latest Urban Music, Bongo Flava, Celebrity Gossips, Breaking News, Lifestyle, Fashion, TV Series. biography, album mp3, download

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post