Wachuja Nafaka Feat. Fid Q | Ukweli na Uwazi (Audio)

featured imageWachuja Nafaka Feat. Fid Q | Ukweli na Uwazi (Audio)

Wachuja Nafaka Feat. Fid Q | Ukweli na Uwazi


Wachuja Nafaka ni moja kati ya makundi makongwe ya Hip Hop kuwahi kutokea Tanzania. Kundi hili liliundwa na Wasanii watatu ambao ni JUMA NATURE, KR MULLAH & DOLLO.

Wimbo huu wa UKWELI NA UWAZI ni kati ya nyimbo zinazopatikana katika Album yao ya UKWELI NA UWAZI ambaopo wimbo huu ulibeba jina la Album hiyo.

DISCLAIMER:
Hakuna ukiukaji wa hakimiliki uliokusudiwa. Similiki sauti kwenye video hii. Ni mali ya wamiliki walio halali.

https://www.youtubepp.com/watch?v=IkLBla97oTE

Install Bongo Exclusive app from Google Playstore here https://play.google.com/store/apps/details?id=bongoexclusive.tv

Bongo Flava is the nickname for Tanzanian music. The genre developed in the 1990s, mainly as a derivative of American hip hop and traditional Tanzanian styles such as taarab and dansi, with additional influences from reggae, R&B, afrobeat, a combination that forms a unique style of music. Lyrics are usually in Swahili or English. – Source WIKIPEDIA


This Is Bongo Exclusive Official Website! For Latest Urban Music, Bongo Flava, Celebrity Gossips, Breaking News, Lifestyle, Fashion, TV Series. biography, album mp3, download

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post