Zizzou Entertainment Artist - Don't Give It Up (Audio)

featured imageZizzou Entertainment Artist - Don't Give It Up (Audio)

Zizzou Entertainment Artist – Don't Give It Up


Zizzou Entertainment and Fashion ni kampuni iliyokuwa ikisimamia kazi za wasanii mbali mbali kama kurekodi nyimbo, kutengeneza albamu, kusimamia mauzo, utengenezaji wa video na mavazi.

Baadhi ya wasanii waliokuwa kwenye kampuni hii ni pamoja na Albert Mangwea ‘Ngwair’, Steve RnB, Edson William ‘Baby Boy’, Squeezer, Dataz na Mzee Zahir Zorro.

Wimbo huu wa Don’t Give UP toka Zizzou Entertainment ni moja kati ya ngoma zilizobamba ile mbaya katika vituo mbalimbali vya televiseni na radio nchini. 

DISCLAIMER:
Hakuna ukiukaji wa hakimiliki uliokusudiwa. Similiki sauti kwenye video hii. Ni mali ya wamiliki walio hala

https://www.youtubepp.com/watch?v=oJicC_aM3z0

Install Bongo Exclusive app from Google Playstore here https://play.google.com/store/apps/details?id=bongoexclusive.tv

Bongo Flava is the nickname for Tanzanian music. The genre developed in the 1990s, mainly as a derivative of American hip hop and traditional Tanzanian styles such as taarab and dansi, with additional influences from reggae, R&B, afrobeat, a combination that forms a unique style of music. Lyrics are usually in Swahili or English. – Source WIKIPEDIA


This Is Bongo Exclusive Official Website! For Latest Urban Music, Bongo Flava, Celebrity Gossips, Breaking News, Lifestyle, Fashion, TV Series. biography, album mp3, download

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post