Tz Hip Hop Stars ft January Makamba & Sugu – Haki (Audio)

featured imageTz Hip Hop Stars ft January Makamba & Sugu – Haki (Audio)

Tz Hip Hop Stars ft January Makamba & Sugu – Haki


Stars ft January Makamba & Sugu – Haki

February 28, 2014

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba
pamoja na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu
wameshirikishwa kwenye wimbo uitwao ‘Haki’ uliofanywa na wasanii 13 wa
Hip Hip. Katika wimbo huu, January Makamba amefanya intro na Sugu
kufunga na outro.

Wasanii walioshiriki kwenye Haki ni pamoja na Quick Rocker, Mchizi
Mox, Godzilla, Kala Jeremiah, G-Nako na Nikki wa Pili. Wengine ni Fid Q,
Joh Makini, Gosby, Profesa Jay, Mwana FA, Danny Msimamo na Kalapina.

Wimbo huu umetayarishwa na P-Funk Majani kwenye studio za Bongo
Records. Una lengo la kulihamasisha bunge la katiba mpya kuingiza suala
la sanaa na haki za kazi za kiubunifu (Intellectual Property) kwenye
katiba hiyo.

https://www.youtubepp.com/watch?v=tOjEDWFbobU

Install Bongo Exclusive app from Google Playstore here https://play.google.com/store/apps/details?id=bongoexclusive.tv

Bongo Flava is the nickname for Tanzanian music. The genre developed in the 1990s, mainly as a derivative of American hip hop and traditional Tanzanian styles such as taarab and dansi, with additional influences from reggae, R&B, afrobeat, a combination that forms a unique style of music. Lyrics are usually in Swahili or English. – Source WIKIPEDIA


This Is Bongo Exclusive Official Website! For Latest Urban Music, Bongo Flava, Celebrity Gossips, Breaking News, Lifestyle, Fashion, TV Series. biography, album mp3, download

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post