Solid Ground Family - Kadi Nyekundu Ft. Saadat | SGF (Audio)

Solid Ground Family - Kadi Nyekundu Ft. Saadat | SGF (Audio)

Solid Ground Family – Kadi Nyekundu Ft. Saadat | SGF


KADI NYEKUNDU ni ngoma iliyobeba jina la Album iliyojaa ngoma kali kutoka kwa SOLID GROUND FAMILY, Moja kati ya Makundi bora kupata kutokea katika tasnia ya Muziki Tanzania.

Kundi hili liliundwa na
Master V, Hamaguy Wasolid, GZ na Big Black.

Ngoma zilizopatikana katika Album hiyo ni kama ifuatavyo;

1. Athumani
2. Baba Jeni
3. Kichaa cha Jerry.
4. Bush Party
5. Mechi Kali.
6. Vibonge
7. Tozi Mpya
8. Kadi Nyekundu

https://www.youtubepp.com/watch?v=Gn1WSP27C7g

Install Bongo Exclusive app from Google Playstore here https://play.google.com/store/apps/details?id=bongoexclusive.tv

Bongo Flava is the nickname for Tanzanian music. The genre developed in the 1990s, mainly as a derivative of American hip hop and traditional Tanzanian styles such as taarab and dansi, with additional influences from reggae, R&B, afrobeat, a combination that forms a unique style of music. Lyrics are usually in Swahili or English. – Source WIKIPEDIA


This Is Bongo Exclusive Official Website! For Latest Urban Music, Bongo Flava, Celebrity Gossips, Breaking News, Lifestyle, Fashion, TV Series. biography, album mp3, download

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post