J93(JNinetythree) Kuachia Ngoma Mpya "Hey Jay" Hivi Karibuni.

Jninetythree hey jay

          Moja ya rappers wanaokuja kwa kasi kwenye game ya bongo flava Tanzania (J93) kuachia ngoma mpya November 10 Mwaka huu aliyoipa jina la Hey Jay. Mtayarishaji wa ngoma hiyo ni Gano. Endelea kutembelea Bongo Exclusive kuiskiliza  Fasta mara tu itapokuwa released.

UPDATES: DOWNLOAD HERE
Previous Post Next Post