Josephine - Nahisi Naibiwa (Audio) ⏪ REWIND

MOJA ya wadada walioipa nguvu Bongo Flava yetu na kuifanya itambe kwa wakati huo kutokana na kipaji chake cha uimbaji ni Josephine. Nahisi naibiwa ni moja ya wimbo wa josephine uliotamba enzi za 2005s back to back na kumtambulisha vyema bidada huyu japo ngoma ya kibanda cha simu aliyoshirikishwa na Soggy Doggy ndiyo ilimtambulisha kwenye game vyema zaidi. Kwa sasa mwanadada huyu ameacha shughuli za kimuziki na kugeukia upande mwingine wa biashara Unaweza kumfollow kwenye instagram account yake HAPA. Nakukaribisha kusikiliza audio yake ya Nahisi naibiwa, download kisha share na wana. Hii ni REWIND ya Bongo Exclusive!

CHORUS (Josephine)
Nahisi nahisi naibiwa, nachanganyikiwa nahisi naibiwa
Nahisi nahisi naibiwa, nachanganyikiwa nahisi naibiwa.

 

DOWNLOAD AUDIO

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post