MOJA ya Wasanii wakali wa R&B Bongo Flava Tanzania Benard Paul (Ben Pol) ameachia audio ya wimbo wake mpya "Zai" alioshirikiana msanii kutoka Nigeria Kiss Daniel. Ngoma imetayarishwa na Producer Tiddy Hotter kutoka studio za One Love FX. Sikiliza/Download kisha share na wana.
Post a Comment