Lulu Diva Ft Rich Mavoko – Ona (Audio)

MWANADADA Lulu Diva baada ya kutamba na ngoma yake ya Homa, ameachia audio ya wimbo wake mpya aliomshirikisha Msanii kutoka Wasafi Records Label Rich Mavoko  "Ona". Mtayarishaji wa wimbo huu ni S2 Kizzy. Sikiliza/Download kisha share na wana.

BRIDGE AND CHORUS (Lulu Diva)
Ni kipofu mi sioni, uchungu wa mapenzi umekaba koo,
Situkani mamba mtoni, Umenipa yote naomba poo.

Ona sasa ona, ona sasa ona
Ona sasa ona, Ona sasa ona
Ona sasa ona, ona sasa ona
Ona sasa ona, Ona sasa ona


DOWNLOAD AUDIO

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post