Dully Sykes – Zoom (Audio)

MKALI wa Bongo Flava Tanzania Dully Sykes baada ya kutamba na ngoma yake ya Bombadia sasa amekuja na nyengine tena "Zoom". Wimbo umetayarishwa na Mr T Touchez. Baada ya Bombadia kutikisa chati za muziki afrika mashariki inaonyesha kuwa dully ameanza kumuamini Mr T Touch na kuamua kufanya nae nyengine kali zaidi. Mwendo ni ule ule ama nini? Sikiliza, Download kisha share na wana. Enjoy!.


DOWNLOAD AUDIO

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post