Foby Ft. Karen & Ibrah Nation – Kitanda (Audio)

IMEKUWA rasmi sasa Foby ameachia audio ya wimbo mpya alioshirikiana na Karen na Ibrah Nation "Kitanda" ni moja ya bongo flava flani hivi ya mapenzi iliyowakutanisha wakali wa R&B pamoja. Ngoma imetayarishwa na C9 Kanjenje. Sikiliza, Download kisha share na wana!. Enjoy.

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post