HUKU Ndipo Bongo Flava ilipotokea na ukizungumzia wasanii walioupa heshima muziki huu basi hawa jamaa wapo pia tangu 2004's huko nyuma. Tunataabika ni wimbo wa kwanza wa Mabaga freshi ambao uliwatambulisha vyema kwenye game ya bongo flava kutokana na aina ya uimbaji walioutumia (rap style) na mashairi yao kwa ujumla. Je ukiisikia hii ngoma unakumbuka nini? nafahamu huu wimbu utakuwa na historia kwenye maisha yako. Karibu sikiliza/Download kisha share na wana!. Hii ni REWIND a.k.a Alhamis Exclusive ya Bongo Exclusive, Enjoy!
CHORUS
Tunataabika, tuna sulubika
Mabaga fresh tumepigika aa aa, tumepigika,
Tunasubiri kufa na kuzikwa aa aa aa, kufa nakuzikwa aa aa
Tunataabika, tuna sulubika
Mabaga fresh tumepigika aa aa, tumepigika,
Tunasubiri kufa na kuzikwa aa aa aa, kufa nakuzikwa aa aa
Post a Comment