Trapee - Najivunia Ft. Avril (Audio) #REWIND

MOJA ya artist waliofanya vizuri nchini Kenya kwa hit songs zisizoisha utamu ni "Trapee" anahusika. Leo nakusogezea audio aliyowahi kutengeneza na kufanya vizuri pande za kenya ni hii "Najivunia" akishirikiana na mwanadada Avril. Najivunia ni wimbo ambao unamfanya mtu ajivunie na nchi yake kwa kila hali. Ngoma ilitoka mwaka 2011 na ilitayarishwa na Ogopa Deejays. Trapee ni moja ya wasanii waliokuwa signed na Ogopa Deejays. Sikiliza Download kisha share na wana.. Enjoy!

CHORUS

Najivunia, Najivunia kuwa mkenya
Najivunia, heeya heya mamaa, Najivunia kuwa mkenya
Najivunia, Najivunia kuwa mkenya
Najivunia, yelelele yelele mamaa


DOWNLOAD AUDIO: Trapee - Najivunia. CDQ Mp3

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post