Sugu (Jongwe) – 219

SUGU (JONGWE) - 219

BAADA ya kupita kimya kingi tangu Sugu (Jongwe) kutoka jela leo ameachia audio ya wimbo wake mpya rasmi ambao amezungumzia maisha aliyokuwa halisi akiishi kabla ya kuingia na baada ya kutoka jela. 219 ni namba aliyokuwa akiitumia gerezani na ndiyo jina la wimbo. Audio imetayarisha na mtayarishaji maarufu nchini Mr T Touchez chini ya studio zake Touch sound. Huu ni ujio mpya wa Sugu nakukaribisha kusikiliza/Download kisha share na wana! Enjoy

Chorus
Mfungwa wa kisiasa 219 (mia mbili kumi na tisa), Mbeya ndiyo inanitesa (Ah)
Naitaka mbeya, najua mbeya ndiyo inanitesa, Lakini bado napenda Mbeya inavyonitesa,
Mfungwa wa kisiasa 219 (mia mbili kumi na tisa), Mbeya ndiyo inanitesa (Ah)
Naitaka mbeya, najua mbeya ndiyo inanitesa, Lakini bado napenda Mbeya inavyonitesa,

DOWNLOAD AUDIO

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post