Tazneem - Kwasa Kwasa (Audio) #REWIND

KWASA KWASA ni wimbo wa kwanza wa mwanadada Tazneem uliomtambulisha vyema kwenye game ya muziki wa Bongo Flava Tanzania na Duniani kote. Jina halisi ni Tazneem Tarmohamed, ni Mtanzania mwenye asili ya India.

[caption id="attachment_6094" align="alignnone" width="1920"]Tazneem Kwasa Kwasa Video Tazneem Kwasa Kwasa Video[/caption]

Kwasa kwasa ilitoka septemba mwaka 2012 na mapokezi yake yalikuwa mazuri kutokana na melody kali ya wimbo huo aliyoitumia.

[caption id="attachment_6093" align="alignnone" width="960"]tazneem with tudd thomas tazneem with tudd thomas[/caption]

Audio imetayarishwa na Tudd Thomas katika studio za Ngoma Records. Tazneem aliachia Kwasa kwasa video pamoja na audio kwa pamoja. Nakukaribisha kuikiliza/Download kisha share na wana.

Chorus

Woowaiwooo wowowowaiwo waiwoo wowo waio waioo
Stage control wowaiwoo waiwoo wowo waiwo waiwoo, cheza ivyo
Twende mbele, turudi nyuma kushoto kulia, nipe kati,
kikwasa kwasa, tucheze kikwasa kwasa
Twende mbele, turudi nyuma kushoto kulia, nipe kati,
kikwasa kwasa, tucheze kikwasa kwasa


Download Tazneem Kwasa Kwasa CDQ.mp3

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post