TMK Wanaume (Juma Nature, Luteni Kalama, KR, Chege & Temba) | Chai (Audio)

featured imageTMK Wanaume (Juma Nature, Luteni Kalama, KR, Chege & Temba) | Chai (Audio)

TMK Wanaume (Juma Nature, Luteni Kalama, KR, Chege & Temba) | Chai


“Ni Home Boyz Production na watoto wa Khalfan Majani kutoka TMK..” Ni sauti ya Nature katika Verse ya kwanza baada ya Luten Kalama kumaliza.

TMK Wanaume ni kati ya makundi bora kuwahi kutokea Tanzania. Ngoma hii ilirekodiwa huko Kenya wakati wakiwa kwenye show.

Walioshiriki katika ngoma hii ni Juma Nature ambaye ameimba kiitikio wengine ni Luten Kamala, KR, Chegge na Temba,

DISCLAIMER:
Hakuna ukiukaji wa hakimiliki uliokusudiwa. Similiki sauti kwenye video hii. Ni mali ya wamiliki walio halali.

https://www.youtubepp.com/watch?v=txOb0PXOlww

Install Bongo Exclusive app from Google Playstore here https://play.google.com/store/apps/details?id=bongoexclusive.tv

Bongo Flava is the nickname for Tanzanian music. The genre developed in the 1990s, mainly as a derivative of American hip hop and traditional Tanzanian styles such as taarab and dansi, with additional influences from reggae, R&B, afrobeat, a combination that forms a unique style of music. Lyrics are usually in Swahili or English. – Source WIKIPEDIA


This Is Bongo Exclusive Official Website! For Latest Urban Music, Bongo Flava, Celebrity Gossips, Breaking News, Lifestyle, Fashion, TV Series. biography, album mp3, download

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post