X Plastaz - Wachaga Piga Chata (Audio)

featured imageX Plastaz - Wachaga Piga Chata (Audio)

X Plastaz – Wachaga Piga Chata


“…Wachaga piga chata! ewe tapa tapa! utakuwaaa na chapa chapa..”

X Plastaz ni moja ya makundi ya mwanzoni kusimamisha bendera ya Arusha na Tanzania kwa ujumla kwenye ramani ya muziki wa HIP HOP.

Kundi hili liliundwa na wasanii Father Nelly, Gsan, Marege, Zigilah, Dinner na Kamaa

Wimbo huu wa WACHAGA PIGA CHATA unapatikana katika Albamu yao ya Maasai HIP HOP iliingia sokoni mwaka 2004.

Nyimbo zilizopatikana katika Albamu hiyo zilikuwa ni;

1 Dunia Dudumizi
2 Msimu Kwa Msimu
3 Wachaga Piga Chata
4 Ushanta
5 Kutesa Kwa Zamu
6 Aha!
7 Kusanyikeni
8 Haleluya
9 Not Ready ft Hashim Dogo,Ommy
10 Bamiza
11 Kitita ft Hashim Dogo.
12 Shika Lako
13 Nini Dhambi Kwa Mwenye Dhiki?

DISCLAIMER:
Hakuna ukiukaji wa hakimiliki uliokusudiwa. Similiki sauti kwenye video hii. Ni mali ya wamiliki walio halali

https://www.youtubepp.com/watch?v=griFytbSumk

Install Bongo Exclusive app from Google Playstore here https://play.google.com/store/apps/details?id=bongoexclusive.tv

Bongo Flava is the nickname for Tanzanian music. The genre developed in the 1990s, mainly as a derivative of American hip hop and traditional Tanzanian styles such as taarab and dansi, with additional influences from reggae, R&B, afrobeat, a combination that forms a unique style of music. Lyrics are usually in Swahili or English. – Source WIKIPEDIA


This Is Bongo Exclusive Official Website! For Latest Urban Music, Bongo Flava, Celebrity Gossips, Breaking News, Lifestyle, Fashion, TV Series. biography, album mp3, download

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post